MAFINGA YETU BLOG
Breaking News
Loading...

Thursday, December 3, 2015

PICHA MBALIMBALI ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA LEO BANDARINI NA SHIRIKA LA RELI LEO-MOTO WAWAKA MAKONTEZA ZAIDI YA 2000 HAYAJALIPIWA KODI

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua bandari ya Dar es salaam  Desemba 3, 2015 ambako alikwenda kupata ukweli kuhusu makontena 2,431yaliyopitia kwenye bandari hiyo bila kulipiwa kodi ya serikali 

ULE “moto” aliouwasha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bw. Kassim Majaliwa kwenye bandari ya Dar es Salaam wiki iliyopita, na kukolezwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli, wa kumsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, Bw.  Rished Bade, umeendelea kusambaa kwenye eneo lote la bandari na viunga vyake baada ya leo tena Bw. Majaliwa kufanya ziara ya kushtukiza na kukuta makontena mengine 2431yenye bidhaa  hayajulikani yaliko.
Baada ya kugundua hilo tena kwa ushahidi wa nyaraka, Waziri Mkuu ambaye wiki iliyopita aliahidi kuwa "Tunataka ku-deal na wajanja wajanja wa TRA." ameagiza kabla ya jua kuzama leo hii Desemba 3, 2015, awe amepata majibu ya kina na timilifu juu ya “uhuni” huo uliofanywa na watumishi wa umma pale bandarini. Waziri Mkuu pia alifanya ziara kama hiyo pale stesheni kuu ya reli iliyo chini ya Kampuni ya Reli Tanzania TRL








WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA BANDARINI LEO

Waziri mkuu, Kassim Majaliwa ametembelea bandarini na shirika la http://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=308888&d=1449148891 
reli Tanzania(TRL). Akiwa bandarini amekagua mfumo wa utoaji na uingizaji mizigo bandarini. Katika maongezi ya awali meneja wa bandari alimuhakikishia kuwa mfumo hauruhusu kontena kuibiwa lakini waziri mkuu alienda na ripoti ya ukaguzi na kumuonyesha majina ya waliopitisha makontena zaidi 2431 bila kulipiwa kodi.
Amempa muda wa masaa matatu hadi saa kumi na mbili jioni aambiwe hatua zilizochukuliwa kwa wahusika kwa sababu anawafahamu.

Katika hatua nyingine, Waziri mkuu alitembelea shirika la reli na kukuta mabilioni yametumika na miradi iliyokusudiwa haijatekelezwa.

Wednesday, December 2, 2015

MAGAZETI YA LEO DEC 03 3015









Tuesday, December 1, 2015

MAGAZETI YA LEO JUMATANO








Monday, November 30, 2015

MAGAZETI YA LEO DECEMBER 1 2015


.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
 

IDADI YA WASOMAJI