
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa
(Takukuru), imemkamata Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Ngarenairobi
Wilaya ya Siha, Gustavu Mallya (31), akituhumiwa kuomba na kupokea
rushwa ya Sh. 250,000 ili atoe dhamana kwa mshtakiwa mmoja anayekabiliwa
na kesi ya jinai.
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Bw. Valentino Mlowola.
...