Thursday, November 19, 2015
KASSIM MAJALIWA ATEULIWA KUWA WAZIRI MKUU MPYA
Hatimaye Kile kitendawili cha Nani Atakuwa Waziri Mkuu wa Awamu ya Tano Kimepata jibu asubuhi hii..
Rais Amemteua Mh Majaliwa Kassim kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tanzania
Jina hilo limetangazwa leo na Spika wa bunge Mh. Ndugai.
Tusubiri kama ataendana na kauli mbiu ya #Hapakazi tu.
Je Kwa Maoni yako Anafaa kuwa Waziri Mkuu?
Je Kwa Maoni yako Anafaa kuwa Waziri Mkuu?
SHARE!
Wednesday, November 18, 2015
SOMA MAGAZETI YOTE YA LEO ALHAMISI NOVEMBER 19 2015

magazeti ya leo alhamisi november 19 2015
...
bonyeza hapa kuangalia magazeti zaidi ya leo alhamisi november 19 2015...
SHARE!
Tuesday, November 17, 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)