HUYU NDIYO MBUNGE WA KWANZA KUTEULIWA NA RAIS MAGUFULI | MAFINGA YETU BLOG
Breaking News
Loading...

Monday, November 16, 2015

HUYU NDIYO MBUNGE WA KWANZA KUTEULIWA NA RAIS MAGUFULI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli amemteua Dk. Tulia Ackson Mwansasu kuwa mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kutengeua nafasi yake ya awali aliyokuwa akishikilia kama Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali. Mh. Dk Tulia anakuwa Mbunge wa kwanza wa kuteuliwa na Rais, kumbuka pia Dk. Tulia ni mmoja kati ya watu watatu waliopitishwa na CCM kuwania nafasi...
 

google+

linkedin

MAFINGA YETU BLOG
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0768 260834. Soma Zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    IDADI YA WASOMAJI