
JESHI la Polisi nchini limekemea tabia inayoendelea kujengeka
miongoni mwa baadhi ya wananchi ya kutoheshimu sheria na kujichukulia
sheria mikononi kwa kuwapiga, kuwadhalilisha watuhumiwa, kuwachoma na
kuwaua. Aidha imetangaza zawadi kwa mwananchi yeyote
atakayerekodi tukio la aina hiyo na kulifikisha kwao. Imeelezwa kuwa
kuanzia Januari hadi Oktoba mwaka huu, watuhumiwa 829 wameuawa na
wananchi....
0 comments:
POST A COMMENT